Invite; Jean-Paul Kapitula: Shida ni kwamba mji wa Beni hauna gari la kuzima moto
Jean Paul Kapitula ndiye mgeni wetu leo. Anatoka kwa ulinzi wa raia wa Beni huko Kivu Kaskazini. Anatufafanulia matatizo yanayokumba huduma hii ya serikali linapokuja suala la visa vya moto…