Kapteni Noëlla Nyaisangah: Wanaoathirika zaidi hapa Kongo ni wanawake na watoto

Marc Maro Fimbo, Radio Okapi(Photo d’illustration)

Mgeni wetu ni Noëlla Nyaisangah, afisa wa kijeshi katika kikosi cha Tanzania cha MONUSCO-Beni na anayehusika na mahusiano na raia. Anazungumza juu ya malengo ya kuandaa mafunzo ya upishi na kusuka nywele kwa wanawake kumi na wawili walio katika mazingira magumu huko Beni, kwa miezi miwili. Kapteni Noëlla Nyaisangah anafafanua katika mahojiano haya na Grevisse Salumu.

Source: Radio Okapi

Latest News

Al Qaeda’s Enduring Threat: 25 Years After 9/1

Washington: Twenty-five years since the September 11 attacks, al Qaeda has transformed significantly but remains a formidable threat. The group has faced setbacks, including the deaths of leaders Osama bin Laden in 2011 and Ayman al-Zawahiri in 2021. …