MUSSA KABWANKUBI MOÏSE : Kiisha miaka tano tusikuwe tena na masomo ya nyasi wala ya magungu kati ya jimbo la Maniema

Tunamkaribisha mkuu wa mkoa wa Maniema. MUSSA KABWANKUBI MOÏSE anapigana vita dhidi ya shule zinazojengwa kwa majani na vibanda katika jimbo lake. Amekabidhi mabati 11,000 kwa shule katika tarafa 19 katika mikoa miwili ya elimu ya Maniema kama sehemu ya ada ya mshikamano wa shule. MUSSA KABWANKUBI MOÏSE anazungumza na Florence KIZA LUNGA.


Deprecated: trim(): Passing null to parameter #1 ($string) of type string is deprecated in /home/pakidxbp/public_html/lenationniger.com/wp-content/plugins/feedwordpress/feedwordpress.php on line 2106