Grace Muhindo Mandolani: Turizike na kidogo tunachopata

Katika mji wa Beni, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, baadhi ya vijana wanafanya kazi katika biashara ndogo ndogo zinazowapatia kikubwa wanachohitaji. Grace Muhindo Mandolani mwenye umri wa miaka kumi na minane ni mchuuzi mitaani kwa miaka mitano sasa. Kulingana na kijana huyu, kinachohitajika ni ujasiri na uvumilivu ili kufanikiwa. Katika mahojiano haya na Guilaine Kasasya, anaelezea kwa nini anafanya kazi hii, ambayo hata hivyo inadharauliwa na baadhi ya watu.


Deprecated: trim(): Passing null to parameter #1 ($string) of type string is deprecated in /home/pakidxbp/public_html/lenationniger.com/wp-content/plugins/feedwordpress/feedwordpress.php on line 2106