Ambroise Basizi Risasi: Tuko wengi sana wale bado hawajapokea pesa yao kidogo kutoka kwa CNSS
Ambroise Basizi Risasi ni mstaafu kutoka kiwanda cha saruji cha Interlac huko Kabimba, jimbo la Tanganyika. Mtindo wake wa maisha umekuwa wa mgumu kupita kiasi