MUSSA KABWANKUBI MOÏSE : Kiisha miaka tano tusikuwe tena na masomo ya nyasi wala ya magungu kati ya jimbo la Maniema
Tunamkaribisha mkuu wa mkoa wa Maniema. MUSSA KABWANKUBI MOÏSE anapigana vita dhidi ya shule zinazojengwa kwa majani na vibanda katika jimbo lake. Amekabidhi mabati 11,000